Kutana na Wema akifanya mambo yake katika uzinduzi wa filamu ya Kigodoro huko Mbagala. Ni mwendo wa kucheza mchiriku mwanzo mwisho.