Shamra shamra za maadhimisho ya siku ya wanawake duniani zinaendelea ambapo utapata kuona na kusikia maoni mbalimbali kutoka kwa wanawake na wadau wengine juu ya usawa wa kijinsia. Usikose.