Roma ameweka wazi kuwa pamoja na picha ya cover ya kazi hii mpya kuonyesha akiwa kama mchungaji haimaanishi kuwa ameamua kuwa mchungaji bali ni ubunifu tu alioamua kuutumia katika sanaa.
Msanii huyu amekutana na eNewz leo hii na kuzungumza kidogo kuhusiana na kazi hii na ujumbe ambao ameamua kuufikisha kwa jamii, na hapa anasema mwenyewe.
