Submitted by Joseph Salam on Jumamosi , 3rd Mei , 2014
From Dar to Tanga ni filamu ya kibongo inayomhusu mwanadada aliyeathiriwa na madawa ya kulevya. Anazamia meli maeneo ya Dar es Salaam anakuja kushushwa maeneo fulani ya Tanga. Bila kujijua mwanadada anahisi yuko South Africa na kuanza shughuli zake.