Kutana na kijana mdogo wa Kitanzania Adam Nditi anayecheza soka timu ya Chelsea ya watoto huko nchini Uingereza.