Submitted by Heriel on Jumatano , 24th Feb , 2016 Wiki hii Msanii Baraka Da Prince atakuwepo kwenye KITENGO cha PLANET BONGO, pia ataongelea mahusiano yake na Video Queen Erricah ambaye inasemakana sasa yuko kimapenzi na Linex