Submitted by Dickson on Jumanne , 12th Jan , 2016Leo kwenye 5Selekt ni Mapinduzi Day hivyo ni burudani na stori kibao pia chemba topic yetu inayosema unadhani ugumu wa maisha unatokana na nini hasa? Ni leo saa 10:00 jioni mpaka saa 12:00 jioni hapa EATV