Name: CLAUDE OBEDI Watanzania wenzangu tuwe makini wakati wa kufanya maamuzi ya kutoa kura zetu kwa wagombea wa ngazi zote, tusikurupuke, tusikilize sera za kila mgombea. Category: Hamasisha