St.Joseph Cathedral wakijadili mada motomoto:- Wanafunzi wanaofanya vizuri katika masomo yao wanawasaidiaje wenzao ambao wana uwezo mdogo?