Name: Deo & Jackson.Vijana na watanzania wote tuchague viongozi bora wenye sera za kutekelezeka, tusifanye uchaguzi kwa ushabiki kwani itatugharimu kwa miaka mitano (5).Category: Hamasisha