Name: Lucas Thomas Ngunja.Usipopiga kura usilalanike kuwa kiongozi flani hafai, cha msingi ni kujiandikisha na kupiga kura kuchangua kiongozi anayefaa kwa maendeleo ya watanzania wote.Category: Hamasisha