Submitted by Bhoke on Jumatano , 21st Mei , 2014Yule Model wa kimataifa kutoka Tanzania ambaye pia ni Miss Tanzania 2001 Millen Magese atakuwepo kwenye Nirvana wiki Ijayo akiongelea sanaa yake ya ulimbwende pia na ugonjwa alio nao ambao umesababisha yeye kutokuwa na uwezo wa kupata mtoto.