Peter amerudi tena kwenye Nirvana akikuonyesha jinsi ya kutengeneza kifua kwa wanaume na kuwa na 'six packs'. Kama wewe ni kaka unayependa kuwa fit hii si ya kukosa kabisa