NIRVANA inakuletea yaliyojiri kwenye sherehe ya wanawake pale Diamond Jubilee hall siku ya tarehe 8. Usikose kutazama jinsi wakina mama walivyotokelezea kwenye zulia jekundu ndani ya 'African prints'