Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

UEFA Champions League kuendelea wiki hii

Jumanne , 24th Nov , 2020

Muendelezo wa michezo ya Kundi B itawakutanisha Inter Millan vs Real Madrid. Miamba miwili ya soka ambao bado wanatafuta pointi ili wafuzu hatua ya 16 bora.

UEFA Champions League, Inter Milan Vs Real Madrid

Kundi B ni kati ya makundi yaliyotoa matokeo ya kustaajabisha. Inter na Madrid wanashika nafasi ya 3 (Madrid) na 4 (Inter). Ni kundi ambalo linaongozwa na Shakhtar Donetsk na Borussia Monchengladbach, timu ambazo wengi hawakuwa wamezipa nafasi katika kundi hili.

Mchezo wa kwanza uliopigwa katika dimba la Estadio Alfredo Di Stefano, Madrid aliibuka kidedea kwa ushindi wa 3-2 dhidi ya Inter. Ni mchezo uliotoa magoli mengi zaidi miongoni mwa michezo ya Kundi B kwenye Ligi ya Mabingwa.

Inter Millan wanahaha zaidi kutokana na uhalisia kwamba hawajapata ushindi wowote katika mechi 3 za mwanzo kwenye hatua ya makundi. Madrid nao bado hawajaipata nafasi ya kufuzu hatua ya mtoano na hivyo mchezo dhidi ya Inter Millan ni wa muhimu kwa timu zote mbili kwenye Ligi ya Mabingwa.

Uhalisia ni kwamba, Inter wanahitaji ushindi na kuongeza pointi ili kujinusuru kutoondolewa kwenye Mashindano ya Ligi ya Mabingwa kwa misimu miwili mfululizo. Madrid haijawahi kuifunga Inter wakiwa ugenini.

Japokuwa, Zinedine Zidane amekuwa mwamba anapokutana na timu za Italia, ameshinda mechi 7 kati ya 8 alizocheza na timu za Italia. Nani atamzidi mwenzake kete, ni Zidane akiwa na Madrid au ni Conte akiwa na Inter?

Kwa upande wa wataalamu wa Meridianbet, odds za mchezo huu zimechangamka!! Ushindi kwa Inter unaodds ya 2.20, Madrid anathaminiwa kwa odds ya 3.04 wakati matokeo ya sare yanaodds ya 3.43. Wataalamu wa Meridian wamekuwekea ofa ya machaguo zaidi ya 1,200 ambayo unaweza kuyaangalia hapa.

Kuwa sehemu ya mchezo huu na ubashiri vile unavyopenda! Kwa odds nzuri, ofa kabambe za michezo na mambo kemkem, Meridian inakusaidia kuwa mshindi!

Jisajili na Meridiabet hapa http://www.meridianbet.co.tz na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanzekubashiri kwa uhuru nyumbani kwako. Pia unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, tuna Bonasi ya 100% inakusubiri.

Meridian - Nyumba yenye odds bora na bonasi kubwa!

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine