Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Gekul akanusha katiba TFF, TOC, kuwalinda viongozi

Jumatatu , 3rd Mei , 2021

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo Pauline Gekul amelitaarifu bunge kuwa shirikisho la  Mpira wa miguu Tanzania TFF na Kamati ya Olimpiki Tanzania TOC hazijawahi kubadili katiba zao kwa lengo la kuwalinda viongozi walioko madarakani, kwani mabadiliko yoyote ya kikatiba laz

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo Pauline Gekul

Mhe. Gekul amekanusha madai hayo leo bungeni, yaliyoibuliwa kufuatia swali la Mbunge wa Makunduchi, Ravia Faina juu ya kwanini Vyama vya michezo vimekuwa vikibadili katiba zao kulinda viongozi walioko madarakani na kudhibiti watanzania wengine wasigombee nafasi katika vyama hivyo.

“Napenda kuliarifu Bunge lako tukufu kwamba shirikisho la TFF na TOC hayajawahi kubadili katiba zao kwa lengo la kulinda viongozi walioko madarakani, kwa kuwa mabadiliko yoyote ya kikatiba lazima yakidhi vigezo vya usajili vinavyosimamiwa na msajili wa vyama na vilabu vya Michezo nchini vikiwemo utawala bora na ukomo wa muda wa uongozi chini ya BMT,” amesema Mhe. Gekul

Pia akizungumzia juu ya ukomo wa uongozi katika baadhi ya vyama vya michezo amesema kwa upande wa TOC tiyari suala hilo lilishafanyiwa marekebisho nakupelekwa kwa msajili huku akiahidi kutembelea kwenye ofisi za baadhi ya vyama ili kupitia vigezo vilivyopo na kuvifanyia kazi.

HABARI ZAIDI

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90