Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Aua mtu kisa kusikiliza muziki

Jumanne , 9th Jul , 2019

Michael Adams, Mkazi wa nchini Marekani anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kesi ya mauaji ya kijana mwenye umri wa miaka 17, kwa kumpiga na kumkaba hadi kufariki kwa sababu ya kusikiliza muziki.

Kushoto ni marehemu na kulia ni mtuhumiwa wa kesi ya mauji

Polisi wamesema tukio hilo limetokea katika eneo la Circle K , Peoria ave lililopo nchini Marekani, na mtuhumiwa mwenyewe Michael Adams amekiri kufanya tukio hilo na amewaambia maofisa wa polisi sababu ni marehemu alikua anacheza na kusikiliza muziki wa rap.

Kijana huyo alikua anasikiliza muziki wa rap, na aina ya muziki huo unamfanya yeye kutokuwa salama na ameshambulia watu wengi ambao wanasikiliza muziki huo”, amesema mtuhumiwa huyo.

Aidha mwanasheria wa mtuhumiwa huyo amesema amemtetea mteja wake kuwa alikua anasumbuliwa na ugonjwa wa kiakili na aliachiwa kutoka jela siku 10 zilizopita kabla kufanya tukio hilo.

Walimuachia kurudi mtaani bila ya kumpima afya yake, tiba na hata kumuwekea ulinzi. Huko ni kushindwa kwa idara hiyo na inatakiwa kufanyiwa marekebisho”.

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine