Picha ya Wema Sepetu na Spiderman wa Bongo
Wema Sepetu ameshea hisia zake kwa Spider Man wa Bongo baada ya comment yake kwenye page ya Esma Platnumz aliyom-post Spider Man akimpa ushauri kuhusu nguo yake ya ndani.
Wema aka-comment kwenye page hiyo kwa kuandika 'Simpendi' jambo ambalo limefanya mashabiki wengi kumshambulia Wema kwa kutoa comment hiyo.