Alhamisi , 27th Mei , 2021

Vanessa Mdee na mpenzi wake Rotimi wameandika kitabu ‘SWAHILI 101 vol.1’ chenye kurasa 37 chenye lengo la kuwasaidia watu kujua lugha ya Kiswahili na kuweza kuzungumza kwa haraka. 

Vanessa Mdee na mpenzi wake Rotimi

Vanessa Mdee na mpenzi wake wa maisha Rotimi, amekuwa akimfundisha lugha hiyo na kuna baadhi ya maneno na misemo ambayo anaipenda inapatikana kwenye kitabu hicho ambacho kimechapishwa Mei 2, 2021 na kinapatikana mtandaoni. 

Ni kitabu kidogo ambacho unaweza kukiweka kwenye mfuko na ukaendanacho popote.