The Rock na mama yake wakati akimpa zawadi ya gari
Gari hilo linatajwa kuwa ni aina ya 2022 Cadillac CT5 ambalo thamani yake ni $50,000, ambazo ni zaidi ya fedha za kitanzania shilingi 115,300,000.
Mama yake The Rock akiwa kwenye gari jipya alilokabidhiwa na mwanaye
Tazama Video hapo chini