Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mchepuko kachepuka - Dude

Jumatano , 23rd Mei , 2018

Msanii wa filamu nchini Kulwa Kikumba maarufu kama Dude, amefunguka kuwa wanaume ambao wanaanzisha mahusiano nje ya ndoa maarufu kama michepuko wanakuwa na hofu pindi wakirudi nyumbami wakiwa na wake zao.

Dude amesema hayo leo Mei 23, 2018 katika kipindi cha DADAZ kinachorushwa na kituo cha EATV kila siku ya Jumatano saa 5:00 asubuhi mpaka 6:00 mchana na kuongeza kuwa wanaume hao wanakua na wasiwasi mwingi kwa kuhofia michepuko yao, huenda wamenzisha mahusiano na watu wengine kipindi ambacho wanaume hao wapo na wake zao.

“Shida ambayo wanaipata (wanaume) ambao wanachepuka wanakosa 'control' kipindi cha usiku kinapofika, wewe unamchepuko basi unalala kwa wasiwasi kwasababu umerudi kwa mkeo, unawaza mchepuko nae anaweza kuwa na mchepuko, mchepuko kachepuka”, amesema Dude.

Dude ameongeza kuwa wasichana ambao wanatenmbea na waume za watu wanatabia ya kuanzisha mahusiano mengine kwasababu hawapendi kuwa na mahusiano na mtu ambaye anamke tayari hivyo wao kutumika kama chombo cha starehe

Muigizaji huyo amewasihi wanaume kuacha tabia ya kuanzisha mahusiano ya nje ya ndoa bali watenge muda mwingi kwaajili ya kuboresha familia zao ili kuepuka migogoro katika ndoa.

HABARI ZAIDI

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90