Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Dogo Janja hana akili" - Young Dee.

Jumamosi , 23rd Sep , 2017

Msanii Young Dee amesema kitendo cha msanii mwenzake Dogo Janja kumtolea maneno machafu na kumtuhumu kuendelea kutumia madawa ya kulevya, ni kumvunjia heshima kwani yeye ana mchango mkubwa kwenye maisha yake, na pia inaonyesha hana akili.

Akizungumza na mwandishi wa East Africa Television, Young Dee amesema kama asingekuwepo yeye hata Dogo Janja asingekuwepo, na inadhihirisha ni jinsi gani bado hajakua kiakili.

"Yeye kama anaongea kuhusu suala la madawa inabidi awe na ushahidi, kwa sababu mimi nimeongea niko na ushahidi kwamba kimuziki asingekuwepo Young Dee wala wao wasingekuwepo, mimi nina mchango kwenye muziki wao, aliposikia mimi naongea vile ilibidi ajiulize kwa nini nimekasirika, sasa kuanza kurusha maneno inaonyesha ni upumbavu na hana akili, inaonyesha ni jinsi gani bado mtoto", amesema Young Dee.

Pamoja na hayo Young Dee ameendelea kwa kusema kwamba ikibidi atamshikisha adabu msanii huyo, kwani sio mara ya kwanza amekuwa akimuimba na kumrushia maneno yenye chokochoko. 

"Unajua unakuwa mstaarabu sana lakini kuna muda unashindwa, mimi sijawahi kumuimba mtu, lakini hawa machalii wamekuwa wakiniimba kila siku sasa inabidi ifike mwisho", amesema Young Dee.

Hivi kaibuni kumeibuka mgogoro mkubwa kati ya wasanii watatu akiwemo Young Killer, baada ya Young Dee kutaka kutofananishwa nao, na Dogo Janja kujibu kwamba Young dee anatumia madawa ya kulevya hivyo ni mtu ambaye hatakiwi kutiliwa maanani.

 

 

 

HABARI ZAIDI

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali

Daktari wa GGML aliyebobea katika magonjwa yatokanayo na kazi, Cretus Karwan akimpatia vipimo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la GGML na kupatiwa huduma za awali za upimaji wa afya katika maonesho ya OSHA yanayoendelea jijini Arusha.

Wananchi 200 wapimwa afya maonesho ya OSHA

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhoka akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa masuala ya jamii na maendeleo ya kiuchumi kutoka GGML, Ruth Mharagi alipotembelea banda la GGML katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi jijini Arusha.

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu

Mwili wa Boaz Sanga, Mwanafunzi wa CHuo cha SAUTI Mwanza baada ya kupatikana Pembezoni wa Ziwa Viktoria

Mwanafunzi wa SAUTI afariki akijaribu kuogelea

Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri, CDF Mpya wa Kenya

Luteni Charles Muriu ateuliwa kuwa CDF mpya Kenya

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa 124%

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita

Vijana Waliojiajiri Sekta ya Kilimo, Nigeria

Mishahara yaongezeka nchini Nigeria