Msanii DMX na Mwanae Sonovah Hillman Jr
Sonovah ameeleza kwa ujasiri kwa kusema “Chochote kilichomo akilini mwangu, ninaandika tu, ku-rap kunanifanya nijisikie nina nguvu, siku moja kumiliki jumba lenye vyumba 15 vya kulala”.
Mama wa Hillman Jr, pia anasema roho ya DMX iko hai na iko ndani ya ufundi wa binti yao, ikumbukwe Rapper DMX alifariki mapema mwezi Aprili kwa mshtuko wa moyo.