Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"8% tu wanatimiza malengo 92% wanafeli" - Nanauka

Jumatatu , 4th Jan , 2021

Kumekuwa na desturi ambayo kila mwaka mpya unapoingia watu huelezea mipango yao na malengo yao ya kufanya ili kuweza kutoboa kwenye maisha ila kwa bahati mbaya malengo hayo huwa hayawafanikiwi.

Mhamasishaji Joel Nanauka

Kupitia kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio huyu hapa ni mhamasishaji Jole Nanauka, anafafanua sababu za watu kushindwa kufanikisha malengo yao wanaojiwekea mwanzoni mwa mwaka hasa kwa vijana.

"Watu wengi wanakuwa na malengo mengi kila mwanzo wa mwaka ila mwisho wa siku hawakamilishi chochote, kwa mujibu wa Chuo Kikuu cha Scranton Marekani kinasema ni 8% tu ya malengo yanayofanikiwa kila mwisho wa mwaka na 92% huwa yanafeli na 25% huwa wanaachana na malengo yao baada ya wiki ya kwanza

"Sababu zinazofanya watu kutofanikisha malengo yao hasa vijana ni kukosa vipaombele, yaani kuwa na malengo mengi kuliko uwezo wao wa kutimiza, kikawaida kunatakiwa maeneo 6 ili kutimiza malengo yako kama afya, fedha, taaluma, ujuzi, mahusiano na biashara" ameongeza 

Bonyeza hapa kwenye video kutazama interview ya Hamis akimlilia Harmonize

HABARI ZAIDI

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali

Daktari wa GGML aliyebobea katika magonjwa yatokanayo na kazi, Cretus Karwan akimpatia vipimo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la GGML na kupatiwa huduma za awali za upimaji wa afya katika maonesho ya OSHA yanayoendelea jijini Arusha.

Wananchi 200 wapimwa afya maonesho ya OSHA

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhoka akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa masuala ya jamii na maendeleo ya kiuchumi kutoka GGML, Ruth Mharagi alipotembelea banda la GGML katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi jijini Arusha.

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu

Mwili wa Boaz Sanga, Mwanafunzi wa CHuo cha SAUTI Mwanza baada ya kupatikana Pembezoni wa Ziwa Viktoria

Mwanafunzi wa SAUTI afariki akijaribu kuogelea

Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri, CDF Mpya wa Kenya

Luteni Charles Muriu ateuliwa kuwa CDF mpya Kenya

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa 124%

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita

Vijana Waliojiajiri Sekta ya Kilimo, Nigeria

Mishahara yaongezeka nchini Nigeria