Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Wafukuzwa chuo kwa kuingilia mfumo wa ada Iringa

Alhamisi , 25th Mei , 2023

Jumla ya wanafunzi 50 wanaosoma kozi mbalimbali katika Chuo Kikuu cha Iringa wamelazimika kufukuzwa chuo baada ya kudukua mfumo wa ada na kukisababishia chuo hicho hasara ya zaidi ya milioni 30.

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Iringa Profesa Ndelilio Urio

Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Ndelilio Urio amesema kubainika kwa udanganyifu wa wanafunz hao ni mra baada ya kubadilisha mfumo wa malipo kupitia control namba  nakubaini udanganyifu uliojitokeza kwa baadhi ya wanafunzi kughusi malipo na kukiibia chuo ambapo wanafunzi zaidi ya mia mbili walibainika huku baadhi yao wakifutiwa matokeo yao.

Katika hatua nyingine uongozi wa chuo hicho umekanusha tuhuma zilizotolewa na mbunge wa viti maalumu mkoa wa lindi Maimuna Ahmad Pathan, wakati akichangia hoja ya Wizara ya Elimu kwa madai kuwa chuo hicho kina uongozi dhaifu ,mfumo dhaifu wa ulipaji malipo na kuwatoza ada wanafunzi mara mbili.

Akitoa ufafanuzi juu ya tuhumu hizo Makamu Mkuu wa Chuo Profesa Urio amesema chuo hicho kina mfumo wa fedha ambao namba za kufanyia malipo hutengenezwa na kutumwa moja kwa moja kwa mwanafunzi husika kupitia barua pepe yake au namba ya simu.

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine