Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Upinzani wazuiwa kushiriki uchaguzi

Jumatatu , 11th Dec , 2017

Rais wa Venezuela Nicolas Maduro amesema vyama vikubwa vya upinzani nchiNi humo vimezuiwa kushiriki kwenye uchaguzi ujao wa urais ambao unatarajiwa kufanyika mwaka 2018.

Rais Maduro amesema vyama pekee ambavyo vitashiriki ni vile ambavyo vimeshiriki kwenye uchaguzi wa meya uliofanyika Jumapili iliyopita, ambao vyama hivyo vikubwa vilisusia.

Kufuatia tukio hilo Rais Maduro amesisitiza kwamba mfumo wote wa uchaguzi wa nchini humo ni wa kuaminika, na kwamba vyama hivyo vimejipoteza kwenye ramani ya siasa.

“Chama ambacho hakijashiriki kwenye uchaguzi huu hakitashiriki tena, kwani wamejiondoa kwenye ramani ya siasa”, amesema Rais Maduro.

Viongozi wa vyama vya Justice First, Popular Will na Democratic Action walisusia uchaguzi wa meya, wakisema kwamba mfumo wa upigaji kura sio wa haki.

Mwezi Oktoba mwaka huu vyama vitatu vikubwa vya siasa nchini Venezuela vilitangaza vitasusia uchaguzi wa meya, ambao umefanyika Jumapili hii kwenye miji 300 ya nchi hiyo, wakisema uchaguzi huo unampendelea Rais aliyeko madarakani Nicolas Maduro.

HABARI ZAIDI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba,

China yaahidi kuendelea kufadhili miradi Tanzania

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali