Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Tunalazimika kukubali kuuwawa"- Mbowe

Jumatano , 14th Feb , 2018

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman Mbowe amewataka wanachama wa chama hicho kuwa waangalifu juu ya usalama wao katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi ili wasiweze kudhurika na watu wenye nia mbaya nao.

Mbowe ametoa kauli hiyo wakati alivyokuwa anazungumza na waandishi wa habari juu ya kifo cha Katibu wa Kata Hananasif, Daniel John kilichotokea jana katika mazingira ya kutatanisha

"Polisi wanawaonea watu wetu, wanawauwa. Tumelalamika mara nyingi mpaka tukafikia hatua ya kususia chaguzi, tunafikili labda wenzetu wanajifunza kwa hilo. Lakini bado tunaona vyombo vya serikali, ni watu ambao wanastahili kusimamia haki kati pande zote, ndio hao hao wanakwenda kusababisha malumbano, matusi, kuwagawa wananchi, kuigawa jamii, na hadi sasa tunaonekana kuna watu kazi yao ni kuuwawa  na tunalazimika kukubali kuendelea kuuwawa", amesema Mbowe.

Pamoja na hayo, Mbowe ameendelea kwa kusema "tunawaambia wanachama wetu waendelee kuwa waangalifu, wasitembee mmoja mmoja kutokea sasa mpaka siku ya uchaguzi watembee kwa vikundi na wajiweke katika mazingira ya kujilinda wakati wote".

Kwa upande mwingine,  Mhe. Freeman Mbowe amedai vyombo vya dola vimekuwa na ubaguzi katika suala zima la kulinda usalama wa raia wake ambapo jambo hilo sio zuri kiutendaje.

HABARI ZAIDI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba,

China yaahidi kuendelea kufadhili miradi Tanzania

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali