Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Tigo yashiriki wiki ya huduma kwa wateja Kawe

Alhamisi , 8th Oct , 2020

Katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja wafanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo leo wameshiriki kutoa huduma mbali mbali kwa wateja wao katika eneo la Kawe jijini Dar es salaam.

Wafanyakazi wa Tigo wakiwa maeneo ya Kawe

Mkuu wa kitengo cha huduma kwa wateja wa Tigo Mwangaza Matotola, amesema zoezi hilo walilolifanya leo pia limefanyika nchi nzima kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo kwa  kuwatembelea wateja wao mitaani na kuwapa huduma za mtandao huo.

“Kwa upande wa mkoa wa Dar es salaam wafanyakazi wa Tigo watakwenda maeneo mbali mbali na kukutana na wateja na kuzungumza nao na kujua changamoto wanazokutana nazo ili kuzitatua” amesema Matotola

Amesema kampuni ya Tigo imeongeza ufanisi mkubwa katika utoaji wa huduma zake kwa kuzingatia mahitaji ya wateja na kwamba watahakikisha mteja wa Tigo mwenye changamoto za aina yoyote zinatatuliwa papo hapo.

HABARI ZAIDI

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhoka akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa masuala ya jamii na maendeleo ya kiuchumi kutoka GGML, Ruth Mharagi alipotembelea banda la GGML katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi jijini Arusha.

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu

Mwili wa Boaz Sanga, Mwanafunzi wa CHuo cha SAUTI Mwanza baada ya kupatikana Pembezoni wa Ziwa Viktoria

Mwanafunzi wa SAUTI afariki akijaribu kuogelea

Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri, CDF Mpya wa Kenya

Luteni Charles Muriu ateuliwa kuwa CDF mpya Kenya

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

Taifa limejitosheleza kwa chakula kwa 124%

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita

Vijana Waliojiajiri Sekta ya Kilimo, Nigeria

Mishahara yaongezeka nchini Nigeria

Coaster iliyoparamia nyumba Bukoba

Tisa wanusurika kifo Kagera