Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Jaji Mkuu atoa neno kwa mahakimu walioapishwa

Ijumaa , 27th Nov , 2020

Leo Novemba 27, 2020 Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof. Ibrahim Hamis Juma, amewaapisha Mahakimu Wakazi 39 ambapo amewataka kuzingatia sheria na kuongozwa na taratibu,kanuni na nyaraka zinazotolewa mara kwa mara na viongozi wa Mahakama.

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof. Ibrahim Hamis Juma,

Akizungumza katika hafla hiyo Mheshimiwa Jaji amesema kazi ya Uhakimu sio kazi ya kuchukuliwa kimazoea au kwa wepesi wepesi  bali uamuzi utagusa uhai,mali na hali ya wanadamu wengine na watanzania kwa ujumla.

''Mtatekeleza mamlaka ya utoaji haki kupitia mahakama zitakazokuwa huru na mtalazimika kuzingatia tu masharti ya katiba na yale ya sheria za nchi'' amesema Jaji Mkuu

Aidha amewakumbusha kuwa makosa yao yanaweza kusababisha wahalifu kama wa madawa ya kulevya wezi,wabakaji kurudi kwenye jamii na kuendeleza uhalifu huo na pia kuwapa moyo wahalifu wengine.

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine