Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Baba amchinja mwanaye na yeye kufariki

Alhamisi , 19th Nov , 2020

Mtoto mwenye umri wa miaka 9, mkazi wa Kitongoji cha Batini, wilayani Gairo, mkoani Morogoro, amenusurika kifo baada ya kukatwa na kitu chenye ncha kali maeneo ya shingoni na baba yake mzazi aliyefahamika kwa jinala Yakobo Taolo (38), huku chanzo kikidaiwa kuwa ni imani za kishirikina.

Kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro, SACP Wilbroad Mutafungwa.

Kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro SACP Wilbroad Mutafungwa, amesema kuwa tukio hilo limetokea Novemba 15 mwaka huu, majira ya 7:00 usiku ambapo baba wa mtoto huyo alivamia chumba alicholala binti yake huyo, anayesoma darasa la pili katika shule ya msingi Kibedya na kuanza kumshambulia kwa sime ambapo kwa sasa anapatiwa matibabu katika kituo cha afya Gairo

Kamanda Mutafungwa ameongeza kuwa mara baada ya baba huyo kutekeleza tendo hilo la kutaka kuua alitokomea pasipojulikana kabla ya jeshi la polisi kumkamata akiwa nyumbani kwa Robart Chidaka 45, mkazi wa kibedya ambaye anashikiliwa na jeshi hilo.

Kamanda Mtafungwa amesema kuwa baada ya baba huyo kushikiliwa na jeshi la polisi, alianza kuumwa na kukimbizwa katika kituo cha afya Gairo kwa ajili ya matibabu na baadaye aligundulika kuwa na tatizo la kupumua na ilipofika alfajiri ya Novemba 16 mtuhumiwa huyo alipoteza maisha.
 

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine