Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Amchinja mke na mtoto wake wa mwaka mmoja

Alhamisi , 24th Mei , 2018

Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Omari Matonya anatafutwa na jeshi la Polisi mkoani Tabora kwa tuhuma za kuwaua kwa kuwachinja mke wake na mtoto wao, kisha kukimbia.

Akizungumza na www.eatv.tv, kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora Wilbroad Mutafungwa amesema kwamba mtu huyo amefanya tukio hilo nyakati za usiku wakati wakiwa wamelala, huku chanzo kikubwa kikitajwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.

“Mwanamke ambaye anaitwa Moshi Daudi mwenye miaka 24 akiwa na mtoto wake wa mwaka mmoja anayeitwa Omari Matonya, waliuawa kwa kuchinjwa na kitu chenye ncha kali shingoni na mwanaume anaitwa Omari Matonya mwenye miaka 25, ambaye ni mume wa huyo mama na baba mzazi wa huyo mtoto, baada ya kufanya tukio hilo alitoweka. Alifanya tukio hilo wakati familia yake ikiwa imelala na chanzo kikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi, ambapo huyo marehemu alikuwa akituhumiwa kuwa na mahusiano na shemeji yake, ambaye ni ndugu yake huyo Matonya anayeitwa Lazima Matonya”, amesema Kamanda Mutafungwa.

Kamanda Mutafungwa amesema mpaka sasa hajapata taarfa zake zozote na jeshi la polisi linaendelea kumtafuta, ili afikishwe kwenye vyombo vya sheria.

 

HABARI ZAIDI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba,

China yaahidi kuendelea kufadhili miradi Tanzania

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali