Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Taasisi za kifedha zitoe elimu ya riba

Jumatano , 15th Feb , 2023

Baadhi ya wawekezaji katika sekta ya fedha nchini wamesema ni muda sahihi kwa taasisi za fedha nchini kushuka chini kwa wajasiriamali,wafanyabiashara wadogo kupitia mbinu mbalimbali ili kukuza mitaji yao kufuatia nchi kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji wakubwa kwenye sekta mbalimbali.

Baadhi ya wawekezaji hao wamesema zipo mbinu mbalimbali katika kupanga kukuza mitaji kukuza uwekezaji katika mitaji ikiwemo kuweka fedha bila kutoa kwa kipindi fulani miezi 6 ama 12 ili kutengeneza riba fulani ambayo itahesabika kama faida uanzishwaji wa kampeni mbali mbali za mara kwa mara ambazo zitalenga kutangaza uwekaji akiba na ukopaji ulio rahisi

Katika mazungumzo na wataalaam hao wa fedha kutoka Taasisi ya fedha ya Mwanga Hakika wamesema kila taasisi za kifedha zimekuwa na fursa mbali mbali na nyingi zikiwa zimeshusha riba zao kwa ajili ya kuvutia wateja  sambamba na kuwasaidia wananchi

"Uanzishwa wa kampeni z mara kwa utasaidia taasisi za kifedha kukua lakini pia kuboresha maisha ya wateja wao hivyo niwasisitize tu wananchi kuwa na tabia ya kutembelea taasisi hizo kujua kampeni walizonazo na huduma ambazo wao wanaweza kunufaika nazo"Amesema Projest Massawe Mkuu wa idara ya biashara Mwanga Hakika

Imeelezwa kuwa wajasiriamali walio wengi hushindwa kufafanua juu ya maneno vigezo na masharti kuzingatia na kujikuta wengi wakitumbukia katika mikopo isiyo na manufaa kwao na kuishia kushindwa kukua kibiashara.

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine