Unakubali kwamba maduka na mabanda ya biashara yanayokua karibu au nje ya shule, huchangia kuharibu tabia za wanafunzi? Usikose mada hii ndani ya SKONGA itakayochangiwa na wanafunzi wa Mugabe sekondari.