Submitted by Halima on Ijumaa , 11th Apr , 2014Nani alaumiwe zaidi kwa mwanafunzi kupata Mimba? Mwanafunzi mwenyewe au wanaowapa mimba wanafunzi? Usikose SKONGA ijumaa hii saa moja kamili usiku, uone wanafunzi wa Temeke Miburani wanasemaje juu ya hilo.