Submitted by Sophia on Jumatano , 19th Mar , 2014Mjadala wiki hii ni kuhusu mechi kati ya Yanga na Azam FC, Je ni sahihi kuiita mechi kati ya timu hizi kuwa Mechi kubwa kuliko zote katika msimu huu? Ili kujua mawazo ya wana Kabumbu studio yanaangukia wapi, usikose kipindi.