Submitted by Sophia on Jumatano , 12th Mar , 2014Ndani ya Kabumbu Ijumaa hii tunajadili juu ya kiwango kilichoonyeshwa na timu ya Yanga ilipo pambana na El Ahly na uhusiano wa kiwango hicho na kiwango cha ligi kuu ya Tanzania.