Kuelekea pambano lake dhidi ya Thomas mashali kuwania ubingwa wa mabara unaotambuliwa na Universal Boxing utakaofanyika MACHI 29 mwaka huu, bondia Japhet Kasema asema anajiandaa kukata mdomo wa mpinzani wake.