Submitted by Bhoke on Jumanne , 6th Mei , 2014Yule 'Prezidenti' Prezoo atakua kwenye Friday Night Live Ijumaa hii, ladies nadhani mnajua naongelea nini, surprises nyingi sana hi si ya kukosa hata kidogo. Ijumaa sa nne usiku.