Usikose Nirvana Wiki Ijayo ambapo tutakua na Niler Davisd ambaye aliwakilisha Tanzania kwenye Top Model World 2014 na kushika nafasi ya tano na pia kushinda taji la Miss Photogenic. Jumanne sa moja kamili usiku