Submitted by Bhoke on Jumatatu , 14th Apr , 2014Usikose Friday Night Live Ijumaa hii saa nne usiku kwani tutakuwa na vipenzi wa wengi naongelea Zembwela pamoja na Irene Tilya, watakuwepo wakiongelea kwa undani kabisa kipindi chao cha Super Mix hii si ya kukosa kabisa