Submitted by Bhoke on Jumatano , 26th Mar , 2014Anawania tuzo ya mwanamuziki anayechipukia kwenye KTMA 2014 na pia makeke yake yanawakimbiza wengi kwenye muziki wa kizazi kipya, usikose Friday Night Live wiki hii tutakuwa na mwanadada Meninah, akiongelea mafanikio yake ya muziki