Kajala Masanja juma hili ndani ya Friday Night Live, Mengi atafunguka kuhusiana na maisha yake, Pia ana surprise kwako kwenye show ya Friday Night Live. Usikubali ikupite!