Leo kwenye Friday Night Live Jux atakuwepo kuelezea video yake mpya inayoitwa one more night ,pia atafunguka kwanini hajutii kufanya video nyingi nje ya Nchi, usikose ni leo saa 10:05pm