Wiki hii kwenye Friday night live tutakuwa na yule DJ mkali Afrika mashariki DJ AD Mafuvu na pia msanii mkongwe aliyepotea kwenye fani arudi kwa nguvu, je unataka fahamu ni msanii gani huyo? Usikose Ijumaa hii sa nne usiku EATV pekee