Submitted by Sophia on Ijumaa , 14th Mar , 2014Baada ya kununua maua wiki iliyopita wiki sasa ni zoezi la kupanda maua katika mpangilio wa kuvutia. Usikose kuangalia kipindi upate kuona jinsi Jide na wataalam wa bustani wanavyopanga bustani hiyo nyumbani kwake.