Members: 
Paulo Santana
Nimezaliwa mwaka 1992 Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 5 katika familia ya watoto 7 Ninaishi Peke Yangu Najulikana kama Dancer Nimesoma Mpaka Form 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2012, 2013, 2014
Abdalah Ibrahim
Nimezaliwa mwaka 1992 Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 5 Ninaishi Peke Yangu Najulikana kama Dancer Nimesoma Mpaka Form 2 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2012, 2013, 2014
Mohamedi Omary
Nimezaliwa mwaka 1992 Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 4 katika familia ya watoto 7 Ninaishi Peke Tandare Najulikana kama Dancer Nimesoma Mpaka Form 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2012, 2013, 2014
Hamisi Mubarak
Nimezaliwa mwaka 1990 Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam
Hamisi Mbelwa
Nimezaliwa mwaka 1992 Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 6 katika familia ya watoto 6 Ninaishi na WAZAZI WANGU Najulikana kama MBISHI MAVOKO Nimesoma Mpaka Form 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
Waziri Rajabu
Nimezaliwa mwaka 1992 Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 3 Ninaishi TANDARE na FAMILIA YETU Najulikana kama KIDUME Nimesoma Mpaka Form 4 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
Abdul Ally