Members:
Jastine Ngapuga
Nimezaliwa mwaka 1995 Wilaya ya Kilombero Mkoa wa Morogoro
Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 3
Ninaishi na WAZAZI
Najulikana kama DOGO BIBA STIRIO
Nimesoma Mpaka Form 2
Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
Lukas Connely
Nimezaliwa mwaka 1994 Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam
Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 4
Ninaishi na BABA na MAMA
Najulikana kama SOSEY-DRAY
Nimesoma Mpaka Darasa 7
Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
Ashirafu Mfalimbega
Nimezaliwa mwaka 1995 Wilaya ya Kilosa Mkoa wa Morogoro
Mimi ni mtoto wa 12 katika familia ya watoto 15
Ninaishi na MAMA na BIBI
Najulikana kama SHILA BONTA
Nimesoma Mpaka Form 2
Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
Jonathani T. Mitume
Tamimu Mahmoudu