Members: 
Dallazy Brown
Nimezaliwa mwaka 1989 Wilaya ya Temeke Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa 8 katika familia ya watoto 8 Ninaishi na Mke na Mtoto Najulikana kwa ajili ya Sanaa yangu Nimesoma Mpaka Form 2 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
Nabir Kasimu
Nimezaliwa mwaka 1993 Wilaya ya Temeke Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa Mwisho katika familia ya watoto 4 Ninaishi na BABI Najulikana kama NAB Nimesoma Mpaka Darasa 7 Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
Kibibi Ramadhani
Nimezaliwa mwaka 1993 Wilaya ya BUZEGA Mkoa wa KIGOMA Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 5 Ninaishi na MAMA na BABA Najulikana kama BAD GIRL Nimesoma Mpaka FORM FOUR Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
Ray Danasi
Nimezaliwa mwaka 1996 Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa Vitalis katika familia ya watoto 4 Ninaishi Kinondoni na Brother Najulikana kama MSANII Nimesoma Mpaka O'LEVEL Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
Petro Ngalyoma
Nimezaliwa mwaka 1993 Wilaya ya Temeke Mkoa wa Dar es salaam Mimi ni mtoto wa Vitalis katika familia ya watoto 4 Ninaishi Kinondoni na Brother Najulikana kama MSANII Nimesoma Mpaka O'LEVEL Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
Shorigo Sam
Dullah Tayz