Members:
Jafali Awali
Nimezaliwa mwaka 1993 Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es salaam
Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 4
Ninaishi na BIBI na BABA MDOGO
Najulikana kama JAFARI
Nimesoma Mpaka FORM 4
Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2016
Wakati Wineske
Nimezaliwa mwaka 1993 Wilaya ya Temeke Mkoa wa Dar es salaam
Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 2
Ninaishi na AUNTY na MJOMBA
Najulikana kama WAKATIZO
Nimesoma Mpaka FORM 2
Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
Johnson Sanga
Nimezaliwa mwaka 1994 Wilaya ya Iringa Mkoa wa Iringa
Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 3
Ninaishi KIMARA
Najulikana kama JOHNSON
Nimesoma Mpaka FORM 4
Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
Emanuel Salehe
Nimezaliwa mwaka 1990 Wilaya ya Iringa Mkoa wa Iringa
Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 5
Ninaishi Mwananyamala
Najulikana kama Emanuel
Nimesoma Mpaka FORM 3
Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
Mbwana Kibosha
Nimezaliwa mwaka 1989 Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani
Mimi ni mtoto wa 4 katika familia ya watoto 4
Ninaishi Mwenyewe
Najulikana kama MBWANA
Nimesoma Mpaka FORM 4
Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016
Kijogoo Ally
Nimezaliwa mwaka 1992 Wilaya yaKinondoni Mkoa wa Dar es salaam
Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 3
Ninaishi KIMARA
Najulikana kama KIJOGOO
Nimesoma Mpaka FORM 4
Nimeshiriki mashindano ya Dance100% Mwaka 2015, 2016