Jina Kamili anaitwa Hassani Mussa Mohamed.
Amezaliwa Pundula mkoani Ruvuma, Tarehe 08/06.
Ni Dancer mkongwe anayecheza ndani ya bendi ya Extra Bongo, Mwanamuziki na pia ni Raisi wa Chama cha Dancers Tanzania.
**Katika majaji wote, judge huyu ndio mkali na asiyetoa maksi kubwa kirahisi.

